eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 310
Wana msimbazi mbona kelele za point 3 toka fifa zimeishia wapi?
Kweli kabisa maana pale TFF hawakuwa na meza ya kuziweka hizo points.Bado FIFA wanaandaa meza ya kuweka hizo point
Wana msimbazi mbona kelele za point 3 toka fifa zimeishia wapi?