FIFA - Fair Play

FIFA - Fair Play

Tulizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
848
Reaction score
664
Hata baada ya kufungwa magoli mawili... Bado anacheka na yule aliyemfunga. Je Kipa wa Yanga au Simba anaweza fanya hivi kabla hajapigwa na mashabiki?

Fair Play.JPG
 
Nahisi alikua anamtania kuwa goli la pili sikuona mpira unakuja nilishitukia upo kwenye nyavu watu wanashangilia!
 
Nahisi alikua anamtania kuwa goli la pili sikuona mpira unakuja nilishitukia upo kwenye nyavu watu wanashangilia!

Angalia vizuri kidole cha shahada anamsigina nacho shavuni
 
Angalia vizuri kidole cha shahada anamsigina nacho shavuni

Hukuangalia Ss3 ww ndo maana umesema hvo,,, kma ulichek tbc huwez kumbuka tukio hlo


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Alitaka corner ndio maana jamaa kamcheka.
 
Hukuangalia Ss3 ww ndo maana umesema hvo,,, kma ulichek tbc huwez kumbuka tukio hlo


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Nimeangalia ila hatuwezi kufanana tafsiri
 
Jamaa alikua akimwambia 'ww nawe ukiwepo lazima tujue? Sio mbaya dogo nenda sambamba na Neymar..usimwache!'...lol
 
Hapa ndipo ile kusema mchezo si uadui ndo mahali pake mchezo ni furaha na mwisho inatuunganisha pamoja lakini kwa uko kwetu michezo ni huasama Kipa wa Yanga au Simba afanye hivi kwa alie mfunga utasikia ameuza mechi huyo
 
Kama mliangalia vizuri jana..huyu kipa ni mwanamichezo hasa..kwani wakati wa mapumziko alikuwa anaongea na kucheka sana na waamuzi.. Pia.. wakati anatoka ndani kwenda kucheza second half njiani alikutana na Messi na akamtania Messi ana kutabasamu ..kumbuka wakati huo Nigeria wako nyuma kwa 2-1 na zote mbili alipiga Messi...

Huyu Kipa ni tofauti na Suarez..Ngoja tuone kama atafanya hivyo na wafaransa..
 
Hukuangalia Ss3 ww ndo maana umesema hvo,,, kma ulichek tbc huwez kumbuka tukio hlo


Sent from my iPhone using JamiiForums.
Dah! unatusononesha wenzio tunaocheki kupitia tbc maana uwa wanawahi kuongea na kutupeleka uwanjani wakati mpira ushaanza, ila ni bonge la picha!
 
hapa ndipo huwa nashangaa mimi,wakati wachezaji wanafurahi au kuhuzunika na makocha wao,hukukwetu wengine wanapigana na wenhine wazimia hata kufa kabisa,wakati kombe la dunia ilikiendelea wengine huku kwetu washabiki wanalia wengine kosana na marafiki zao na wakezako.sijawahi sikia kunamchezaji au kocha amekufa au kuzimia kwa kifungwa isipokuwa mashabiki tu.
 
Back
Top Bottom