Kuhusu goal-line technology hiyo nimeikaribisha sana lakini FIFA wangekuwa na utaratibu wa 'review' pale penye utata. Lile goli la Brazili lililopatikana kwa mkwaju wa adhabu ukiangalia vizuri sana utagundua kuwa beki wa Italy hakufanya rafu.
Hata mie sikuelewa maana pale beki alikuwa hana hana cha kufanya. Nafikiri the most controversial decisions kwenye soka siyo kama mpira umevuka mstari bali, whether mfungaji alikuwa off side. Whether the ball crossed the line, inatokea mara chache sana.
On one hand, kama soka itatawaliwa na technology kunaweza kupunguza excitement ya soka. What makes football interesting siyo tuu skills za wachezaji bali pia pia some controversial decisions made by referees. Mara nyingi baada ya mechi discussions zinajikita zaidi kwenye maamuzi yaliyofanywa na refa. Hii ni tofauti na rugby ambapo baada ya mechi kuisha, there is no further interesting discussions (sorry
afrodenzi 🙂).
On the other hand, siku hizi watu wame-invest sana kwenye soka to the extent that kuna financial costs associated with the decisions made by referees. Kuna mechi moja nadhani ni Wigan walifungwa goli ambalo lilionekana na wrong decision kama ile ya Neymar jana, na kocha wao kudai kuwa that the referee's decision to award their opponent a free kick, which they scored, cost them £30 million!
Kitu kilichonifurahisha ni kupata ile ladha kamili ya kuangalia na kusikiliza soka kama lilivyo na ilivyozoeleka.
Tofauti na South Afrika hapa unasikia ile mandhari ya uwanja kwa ushangiliaji au hata kuzomea ili mradi shamra shamra. Hakuna kelele za kipuuzi kama za vuvuzela.
Vuvu zela ilikuwa kero sana si kwa wenzetu hata mimi niliichukia sana. Of course haikuandikwa sana kwasababu ya kuogopa mambo ya race, ukweli utabaki pale pale Vuvu zela ilikuwa nuisance and primitive way ya shamra shamra na ilifanya mashindano yapoteze ladha.
Yea, kwa upande wa mashabiki they have been fun, japokuwa mitaani wengi bado wana protest kwa kiingilio kuwa juu mno. Nimependa ushiriki wa Tahiti na hasa wachezaji wao wa kuokoteza mitaani kama yule mwotesha nazi. Wako baadhi wanadai kuwa they are making football to look ridiculous, but they they qualified to paly in the Confederation Cup baada ya kushinda Oceania Cup of Nations against the "might" of Australia and New Zealand.
Imagine mkwea nazi kutoka Mbagala Kizuiani, anakabana na Torres wa mambigwa wa dunia kwenye international competitive match, tena kwenye uwanja ulioko Brazil na pamoja na kufungwa bao 10, mashabiki 99.99 wanamshangilia na baada ya mechi wanapewa a standing ovation and a lap of honour kutoka kwa mabingwa hao wa dunia.
That is inspiring na inaonyesha respect ambayo inapoteka kwenye soka aka the "beautifull game". Mafanikio yoyote yanatokana na respect unayotoa kwa wapinzania wako, regardless of their capacity. Lakini huyu pundit ana-question the professionalism ya wachezaji wa Tahit ku-smile baada ya mechi baada kufungwa bao 10
[video=youtube_share;myF44FsME80]http://youtu.be/myF44FsME80[/video]