kwani nani alienda final? Alaf sijasema buffon mbovu, naeshimu uwezo wake ila siku ile spain walimgalagaza babu wa wa2 anaruka kushoto wa2 wanapiga kulia daah ikawa kwere
Jamani brave one aliona golikipa mmoja tu akifungwa penati siku ile,Buffon,bhaas!nikiitaja sababu kwa nini macho yako hayakumuona golikipa wa Spain siku ile utanitukana tena,ngoja nikae kimyaa niache wenge!
na yule kibibi kizee wa Madrid,mkewe na Buffon mbona humzungumzii?au hukumuona alivyokuwa akidaka milingoti badala ya "Panenka"?
Jamani brave one aliona golikipa mmoja tu akifungwa penati siku ile,Buffon,bhaas!nikiitaja sababu kwa nini macho yako hayakumuona golikipa wa Spain siku ile utanitukana tena,ngoja nikae kimyaa niache wenge!
Wengi waliamini Spain watapoteza kwenye penalt sababu hawana kawaida ya kushinda kwa style hiyo lakini wametuthibitishia kuwa ukimuona mtu kila siku anaendesha gari haimaanishi kuwa hana uwezo wa kutembea kwa miguu yawezekana alikuwa mtaalamu wa kusaka ndezi au mbawala kijijini kwao. Sasa umefika muda wa yule NEEMA kugeuka MWAJUMA na zile jazba zake lazima atarusha ngumi kwa mabingwa wa kila kitu maana jamaa hawaachi kitu kuanzia WC,EURO,CONFDRTN,U - 17,U - 20 mpaka U - WEAR.
kwani nani alienda final? Alaf sijasema buffon mbovu, naeshimu uwezo wake ila siku ile spain walimgalagaza babu wa wa2 anaruka kushoto wa2 wanapiga kulia daah ikawa kwere
Nilijua tu madomokaya watapata ya kusema shujaa akiangukaHuu ni uwenda-azimu!!
teh teh teh,kaka acha tu yaani ilikuwa majonzi sikutegemea kabisa kama tungefungwa na Brazil hii,kweli niliwadharau,ila nawapongeza wameweza kuutumia vizuri uenyeji wao,wakiendelea hivi wanaweza kubeba kombe la dunia mwakani,ila yote 9 kumi ningekuwa rais wa chama cha soka Spain ningeomba mechi nyingine nao uwanja usio na mwenyewe nione je kweli wanawaweza Spain,kwa sasa binafsi naamini uenyeji uliwasaidia kiasi fulani na bao la harakaharaka sprit kutoka kwa mashabiki,ila nimekubali kipigo kitakatifu kiasi kwamba sikuwa na furaha kabisa,mara ya mwisho ni pale Tyson alipopigwa na Evender nilikosa raha,na hii binafsi niliadimika hata kwa wapinzani,sina la kusema ila obrigado Brazil,na Neymar nilimkubali mechi ya j2,na kingine nikakumbuka miaka 11 iliyopita tarehe na siku ya j2 kule Yokohama Japan final world cup Brazil chini ya Scolari ilimfunga German 2-0 Ronaldo tarehe 30/06-2002 kwahiyo ni miaka 11 net,historia inamfuata mkondo wake,hongereni sana kwa Spain na cc wanazi wake hatuna usemi zaidi ya Spain we are in pain.:becky:Tunaomba urudi tena upige kelele zako tena hapa,utueleze imekuwaje timu yako yenye rekodi ya kutofungwa fainali imekuwaje leo
teh teh teh,kaka acha tu yaani ilikuwa majonzi sikutegemea kabisa kama tungefungwa na Brazil hii,kweli niliwadharau,ila nawapongeza wameweza kuutumia vizuri uenyeji wao,wakiendelea hivi wanaweza kubeba kombe la dunia mwakani,ila yote 9 kumi ningekuwa rais wa chama cha soka Spain ningeomba mechi nyingine nao uwanja usio na mwenyewe nione je kweli wanawaweza Spain,kwa sasa binafsi naamini uenyeji uliwasaidia kiasi fulani na bao la harakaharaka sprit kutoka kwa mashabiki,ila nimekubali kipigo kitakatifu kiasi kwamba sikuwa na furaha kabisa,mara ya mwisho ni pale Tyson alipopigwa na Evender nilikosa raha,na hii binafsi niliadimika hata kwa wapinzani,sina la kusema ila obrigado Brazil,na Neymar nilimkubali mechi ya j2,na kingine nikakumbuka miaka 11 iliyopita tarehe na siku ya j2 kule Yokohama Japan final world cup Brazil chini ya Scolari ilimfunga German 2-0 Ronaldo tarehe 30/06-2002 kwahiyo ni miaka 11 net,historia inamfuata mkondo wake,hongereni sana kwa Spain na cc wanazi wake hatuna usemi zaidi ya Spain we are in pain.:becky:
Sasa zile 2% ulizowapa Brazili uliziokota wapi? Ndio maana nasema huo ni Uwenda-Wazimu.
7bu wenyeji walikuwa,una swali lingine?Sasa zile 2% ulizowapa Brazili uliziokota wapi? Ndio maana nasema huo ni Uwenda-Wazimu.