bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 1,228
- 2,475
kitu kibaya ni kwamba hizi ni kura za wazi watu walipiga.....!Namkubali sana andunje ila kuna vitu wanampendelea, baadhi ya tuzo hakustahiki.
Ila haya hivyo ni sawa, nadhanj vitu vingine vipo kibiashara zaidi, Adidas atakuwa anahusika hapa.
Akipewa tena 2024 ampe mshindi wa pili maana credibility ya tuzo zake itakuwa na doa.Uzuri ni kwamba yy mwenyewe Messi alimpigia Halland
kwa hizo tuzo uchafu hizo apewe tu maana zimekua hazina maana tena inabidi ata kina mzamiru yasini wawe wanashirikiWatu wa Ronaldo tunazidi kuwapga pumbuh tu..
Mkuu bado hujasema... Bila kombe la dunia mpaka usemekwa hizo tuzo uchafu hizo apewe tu maana zimekua hazina maana tena inabidi ata kina mzamiru yasini wawe wanashiriki
Kachoka tuzo sasahiv anacheza tu ilimradi umri uende apumzike. Hakuna kitu ambacho hana kwenye career yake mpraUzuri ni kwamba yy mwenyewe Messi alimpigia Halland
🤣 🤣 🤣He deserves