h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,367 Mar 21, 2017 Thread starter #21 Mwenye kuhitaji bei leo imeshuka kidogo, wahi zipo chache. Link
Q Quan Lup JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 710 Reaction score 1,006 Mar 29, 2017 #22 Mbona lipo kickasscd tena cracked
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,367 Mar 29, 2017 Thread starter #23 Quan Lup said: Mbona lipo kickasscd tena cracked Click to expand... Uwe unasoma hata commments za hizo torrent kiongozi. Kalipakue ukiweza kulicheza nitakulipa gharama ulizotumia kwenye bando.
Quan Lup said: Mbona lipo kickasscd tena cracked Click to expand... Uwe unasoma hata commments za hizo torrent kiongozi. Kalipakue ukiweza kulicheza nitakulipa gharama ulizotumia kwenye bando.
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,370 Reaction score 29,990 Mar 29, 2017 #24 h120 said: Mwenye kuhitaji bei leo imeshuka kidogo, wahi zipo chache. View attachment 484298 Link Click to expand... Kwenye uwezo wa kununua online aninunulie kwa hyo bei then ntamlipa na faida ya 15%
h120 said: Mwenye kuhitaji bei leo imeshuka kidogo, wahi zipo chache. View attachment 484298 Link Click to expand... Kwenye uwezo wa kununua online aninunulie kwa hyo bei then ntamlipa na faida ya 15%
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,367 Mar 29, 2017 Thread starter #25 Bonny said: Kwenye uwezo wa kununua online aninunulie kwa hyo bei then ntamlipa na faida ya 15% Click to expand... Mwl.RCT
Bonny said: Kwenye uwezo wa kununua online aninunulie kwa hyo bei then ntamlipa na faida ya 15% Click to expand... Mwl.RCT
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,367 Mar 29, 2017 Thread starter #26 Link nyingine hii, hiyo listing ya hapo juu ishauzwa. Link
N Nassy Muller Member Joined Sep 30, 2016 Posts 85 Reaction score 20 Mar 30, 2017 #27 Nina Hp Core i5 ram 4gb Vp nikipata Fifa 17 inaeza kucheza???
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,367 Mar 30, 2017 Thread starter #28 Nassy Muller said: Nina Hp Core i5 ram 4gb Vp nikipata Fifa 17 inaeza kucheza??? Click to expand... post hizi snaps ndio rahisi kujua specs Ya kwanza nenda kwenye start menu kisha andika dxdiag kisha piga enter ya pili nenda computer properties
Nassy Muller said: Nina Hp Core i5 ram 4gb Vp nikipata Fifa 17 inaeza kucheza??? Click to expand... post hizi snaps ndio rahisi kujua specs Ya kwanza nenda kwenye start menu kisha andika dxdiag kisha piga enter ya pili nenda computer properties
konge JF-Expert Member Joined Sep 1, 2014 Posts 6,622 Reaction score 41,331 Apr 1, 2017 #29 Wakuu nina hizo pc games 1 :Microsoft flight simulator 2004 and 2002& 2:race 07 Mwenye kuitaji aje pm, zote hazijatumika
Wakuu nina hizo pc games 1 :Microsoft flight simulator 2004 and 2002& 2:race 07 Mwenye kuitaji aje pm, zote hazijatumika
N Nassy Muller Member Joined Sep 30, 2016 Posts 85 Reaction score 20 Apr 2, 2017 #30 Kwa Specifications Hizi Za Pc Yangu Vp FIFA 17 Itakubal kuchezaa???
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,367 Apr 2, 2017 Thread starter #31 Nassy Muller said: Kwa Specifications Hizi Za Pc Yangu Vp FIFA 17 Itakubal kuchezaa??? Click to expand... Intel HD graphics 3000 Unaweza cheza Fifa 14 with low settings.
Nassy Muller said: Kwa Specifications Hizi Za Pc Yangu Vp FIFA 17 Itakubal kuchezaa??? Click to expand... Intel HD graphics 3000 Unaweza cheza Fifa 14 with low settings.
N Nassy Muller Member Joined Sep 30, 2016 Posts 85 Reaction score 20 Apr 2, 2017 #32 h120 said: Intel HD graphics 3000 Unaweza cheza Fifa 14 with low settings. Click to expand... mhhu kwa iyoo Mkuu Apo haitakubal 17 Coz 14 ndo Nachezaga na ile 16 ya Vikosi Vipya tu
h120 said: Intel HD graphics 3000 Unaweza cheza Fifa 14 with low settings. Click to expand... mhhu kwa iyoo Mkuu Apo haitakubal 17 Coz 14 ndo Nachezaga na ile 16 ya Vikosi Vipya tu
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,367 Apr 2, 2017 Thread starter #33 Nassy Muller said: mhhu kwa iyoo Mkuu Apo haitakubal 17 Coz 14 ndo Nachezaga na ile 16 ya Vikosi Vipya tu Click to expand... Haiwezi hata kama itakubali sidhani kama itachezeka.
Nassy Muller said: mhhu kwa iyoo Mkuu Apo haitakubal 17 Coz 14 ndo Nachezaga na ile 16 ya Vikosi Vipya tu Click to expand... Haiwezi hata kama itakubali sidhani kama itachezeka.
N Nassy Muller Member Joined Sep 30, 2016 Posts 85 Reaction score 20 Apr 2, 2017 #34 h120 said: Haiwezi hata kama itakubali sidhani kama itachezeka. Click to expand... Na apo hakuna jins ya kuifanya. ichezee?Je Naeza Update Fifa 14 niliyonayo ije 17 kama vp?
h120 said: Haiwezi hata kama itakubali sidhani kama itachezeka. Click to expand... Na apo hakuna jins ya kuifanya. ichezee?Je Naeza Update Fifa 14 niliyonayo ije 17 kama vp?
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,367 Apr 2, 2017 Thread starter #35 Nassy Muller said: Na apo hakuna jins ya kuifanya. ichezee?Je Naeza Update Fifa 14 niliyonayo ije 17 kama vp? Click to expand... Mods zipo angalia hiyo video chini, na links za ku download zipo huko.
Nassy Muller said: Na apo hakuna jins ya kuifanya. ichezee?Je Naeza Update Fifa 14 niliyonayo ije 17 kama vp? Click to expand... Mods zipo angalia hiyo video chini, na links za ku download zipo huko.
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,367 Apr 2, 2017 Thread starter #36 Nassy Muller said: Na apo hakuna jins ya kuifanya. ichezee?Je Naeza Update Fifa 14 niliyonayo ije 17 kama vp? Click to expand... Ukitaka better gaming experience, tafuta mashine yenye specs nzuri.
Nassy Muller said: Na apo hakuna jins ya kuifanya. ichezee?Je Naeza Update Fifa 14 niliyonayo ije 17 kama vp? Click to expand... Ukitaka better gaming experience, tafuta mashine yenye specs nzuri.
N Nassy Muller Member Joined Sep 30, 2016 Posts 85 Reaction score 20 Apr 2, 2017 #37 h120 said: Ukitaka better gaming experience, tafuta mashine yenye specs nzuri. Click to expand... sawaa brazaa eb niambie mashine gan inafaa enye specs nzur ili nisisumbuke kweny Games coz Napenda sana Fifa
h120 said: Ukitaka better gaming experience, tafuta mashine yenye specs nzuri. Click to expand... sawaa brazaa eb niambie mashine gan inafaa enye specs nzur ili nisisumbuke kweny Games coz Napenda sana Fifa
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,367 Apr 2, 2017 Thread starter #38 Nassy Muller said: sawaa brazaa eb niambie mashine gan inafaa enye specs nzur ili nisisumbuke kweny Games coz Napenda sana Fifa Click to expand... Zipo thread nyingi humu zinazungumzia hayo, jaribu ku search utapata muongozo mkuu.
Nassy Muller said: sawaa brazaa eb niambie mashine gan inafaa enye specs nzur ili nisisumbuke kweny Games coz Napenda sana Fifa Click to expand... Zipo thread nyingi humu zinazungumzia hayo, jaribu ku search utapata muongozo mkuu.
cleaner wrasse JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 9,055 Reaction score 10,047 Apr 3, 2017 #39 Mnunue tu online shida ya bwerere hiyo