A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,980 Reaction score 42,511 Sep 16, 2020 #41 ChickMagnet said: Fifa 14 ndo fifa tamu zaidi mpaka leo bado nacheza Click to expand... Nakubaliana na wewe mkuu. Naipenda saaana Classic XI. Humo ndani kuna akina Cantona, anaruka vichwa balaa. Kuna mnyama Zico, anakaba na kushambulia hatari. Kuna frankly, akimbia si mchezo. Hugo Sanchez na Voller hizi strikers ni moto mwingine. Ukuta wa nyuma ukimkuta Koeman utajuta. Ukicheza na mtu akatumia hii timu huwezi ukampiga.
ChickMagnet said: Fifa 14 ndo fifa tamu zaidi mpaka leo bado nacheza Click to expand... Nakubaliana na wewe mkuu. Naipenda saaana Classic XI. Humo ndani kuna akina Cantona, anaruka vichwa balaa. Kuna mnyama Zico, anakaba na kushambulia hatari. Kuna frankly, akimbia si mchezo. Hugo Sanchez na Voller hizi strikers ni moto mwingine. Ukuta wa nyuma ukimkuta Koeman utajuta. Ukicheza na mtu akatumia hii timu huwezi ukampiga.
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,366 Reaction score 12,356 Sep 16, 2020 #42 Update na fifa infinity patch 14, hii patch iko poa sana , Yani imekamilika