mimi nawafahamu. Maneno ni mengi kuliko vitendo. Wasanii wa bongo hawawezi kufanya vizuri sababu hela wanayo pewa haiwatoshi. So wakishapewa mwaliko wanaona hawawezi kukataa hela so wanaendelea na mishemishe zao mwisho wa siku wanapanda jukwaani hadi mistali ya nyimbo zao wanaisahau. Mimi siwalaumu. Ilitakiwa wawape hela ya kuwaweka kambini wafanye mazoezi sasa wewe laki mbili utaifanyia nini?
Mapacha waliwahi kuwauliza kwenye interview ya clouds nyinyi mnapendwa kukipwa kiasi gani fiesta? Wakasema mil 250. Tangia siku hiyo hawajaitwa kwenye interview wala fiesta mia
😛lane: