mi najionea vioja tu nipo kwangu natazama tv naiona live lakin nakaa najiuliza hii ni starehe au adhabu maana naona wamesimama tu wananyanyua mikono mara kwa mara na wamebanana sana sasa najiuliza hivi ndo stareh za vijana wetu wa sasa au maana sisi zaman tulikua tunaenda kwenye music kistareh unakuta nafasi kubwa viti vimepangwa ukiwa na hamasa ndo unaenda stejin ukacheze bas sasa hawa vijana naona wote wapo wima hiyo no adhabu