Hili tamasha la fiesta linalo endeshwa na kituo cha clouds katika mikoa mbalimbali, utafiti unaonyesha kuwa tamasha hilo ambalo washiriki wake wengi ni vijana limekuwa chanzo kikuu cha maambukizi mapya ya Ukimwi kwa kuwa katika kilele cha tamasha hilo ngono inatendaka sana na hivyo kuongeza maambukizi mengi ya Ukimwi.
Ushauri;
Waandaaji wanapaswa waangalie upya tamasha hili ili liwe na faida zaidi kuliko hasara. Elimu ya maambukizi ya Ukimwi itolewe mara kwa mara.
Mamlaka zinazo husika zinawahibu wa kuthibiti ili kulinda maadili ya kitanzania, wasiachiliwe tu wafanye wanavyo taka, lazima wadhibitiwe ili kulinda maadili ya kitanzania.