Sugu ni kiazi....,mpaka leo bado hajatambua kuwa amepelekwa bungeni na wananchi wa Mbeya na sio wasanii wenzake..., hili ni jimbo ambalo CDM italipoteza 2015 kwa upumbavu tu wa Sugu...
Kabla hajatekelea ahadi yake ya kulipiga mnada wa hadhara gari la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kabla hajatimiza wazo lake la kuuuza Mgodi wa Kiwira na fedha zitakazopatikana kuwagawia masela wanywee pombe, kesho na keshokutwa sintashangaa atakapotangaza kuudondosha mnara wa kurushia matangazo ya Clouds FM mjini Mbeya, huyu mtu ni janga...!!