Miaka 20 unafananisha na mwaka mmoja maweee..wafanye miaka kumi mfululizo kwanza..kuna bidhaa nyingi zinakuja kwa kishindo alafu kapuni...Chibu perfume,Diamond karanga ziko wapi

Chibu perfume zimeisha, diamond karaga hawaziuzi tena.hilo ni suala la muhusika mwenyewe kuamua kuendelea na hizo biashara au kuacha ili kuja na kingine baada hizo bidhaa kufanya vizuri sokoni.
Angelikuwa ni huyo basi bifu ya wasafi na clouds inatokea wapi... jaribuni kutumia logic ya kawaida sema labda ana share na yeye wasafi na hayo mengineyo ni uvumi tu uliovuma enzi za kumshindanisha aslay na diamond
Chibu perfume zimeisha, diamond karaga hawaziuzi tena.hilo ni suala la muhusika mwenyewe kuamua kuendelea na hizo biashara au kuacha ili kuja na kingine baada hizo bidhaa kufanya vizuri sokoni.
Unawezaje kuacha biashara inayofanya vizuri sokoni? Labda uwe chizi,Karanga kidogo ziliuzika but perfume zilibuma mapema huwezi kutuuzia perfume laki1 wakatti dukani kuna perfume elfu5 halafu INA quality sasa na yako