Hao Clouds wanaofisi, msanii si mtu mdogo kama unavyotaka kuaminisha watu....hiyo hapo ni biashara kubwa sana kwa Clouds....atleast heshimu anayekupa kulaNimeamini upeo wa watanzania katika kuelewa mambo ni mdogo sana.!!
Sisi watanzania ni wagumu sana kuelewa vitu.... ,hata sioni sababu ya mtu kuja hapa na kumwaga povu lote hili kwa hoja zisizo na msingi!
Kwanza kama wasanii wenyewe wamekubali wewe kinachokuuma ni nini?
Na hawajasema wanafanya usahili ni USAJILI,hilo neno limetumika vibaya tu ila kwa maana nyingine WANASAINISHA WASANII MIKATABA KWAAJILI YA FIESTA.
Hebu soma tena ulichokiandika mkuu.Hao Clouds wanaofisi, msanii si mtu mdogo kama unavyotaka kuaminisha watu....hiyo hapo ni biashara kubwa sana kwa Clouds....atleast heshimu anayekupa kula
Walishindwa nini kuwaita mmoja mmoja tena ofisini tena mbele ya Mawakili(wataalamu) wa mikataba wakawasainisha privately then wakafanya hata pre fiesta party ya kuwatambulisha?
Kuwakusanya hivyo ni kuwadharaulisha kwa mashabiki wao...nchi za watu wastaarabu wanaoheshimu talents za watu hawafanyi dharau hizo.
Mwisho wa siku wanaenda kuwajaza kwenye dala dala na kuwazungusha tanzania nzima kama kundi la wanafunzi walio kwenye study tour....
Inashangaza!
Nimeamini upeo wa watanzania katika kuelewa mambo ni mdogo sana.!!
Sisi watanzania ni wagumu sana kuelewa vitu.... ,hata sioni sababu ya mtu kuja hapa na kumwaga povu lote hili kwa hoja zisizo na msingi!
Kwanza kama wasanii wenyewe wamekubali wewe kinachokuuma ni nini?
Na hawajasema wanafanya usahili ni USAJILI,hilo neno limetumika vibaya tu ila kwa maana nyingine WANASAINISHA WASANII MIKATABA KWAAJILI YA FIESTA.
Mkuu labda Ulisoma vibaya. Mimi sikuandika USAHILI. Niliandika USAJILI kabisa. Sijafanya corrections zozote kwenye Uzi wangu. Ila anyway,labda nilikosea.As per thread ya Compact anasema kwamba wasanii kama Navy Kenzo Fid Q na weusi leo wanafanyiwa usahili ili tu kushiriki tamasha la FIESTA, hii imenishangaza kidogo,
Hivi hii FIESTA ina nini mpaka hawa major Artists waweze kupanga foleni na kufanyiwa usahili ili wafuzu kuwa kwenye hiyo tour?
Clouds wasitake kujifanya wanamiliki hii industry kwamba wanaweza ku order wasanii kufanya wanavyotaka....na nyinyi wasanii amkeni acheni kuwaabudu hao clouds hawana lolote zaidi ya kuwashushia heshima yenu tu....kuna media nyingi sahivi achen kumuabudu huyo Ruge na Clouds yake
Usajili wa wasanii Fiesta 2016
Hii haikubaliki yaani wasanii (super stars) wamekuwa kama timu ya taifa ya Olympics!!!
Hahahaaa..... Hapo utasubiri sana Mkuu.nasubiri komando jide nae apewe huo mkataba