mzee wa mazabe
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 843
- 629
Burudani ya Fiesta ambayo imefadhiliwa na Tigo imefanya vizuri katika Mikoa yote ambayo ilipita pamoja na kuambata na Fursa kwa wale wasiojua neno Fursa hii inatokana hasa na Target costing yaani unatageti gharama kwanza kabla ya kujua Price, mimi kwa mtazamo wangu ni ubunifu wa hali ya juu na ilitakiwa Clouds Media kupongezwa kwa ubunifu huu, lakini kabla ya burudani hii kufanyika nimeshuhudia Wakuu wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Polisi wakihojiwa na waandaaji na kutoa ushirikiano wa hali ya juu, swali langu ni mbona hapa Dar sioni cha Mkuu wa Mkoa wala RPC wa Kanda maalum ya Dar wakihojiwa?au ndio kuna mgomo baridi?
Nawasilisha wakuu.
Nawasilisha wakuu.