Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,257
- 34,553
Kabisa yani.Mwisho wao umefikaa
Sawa.Pole pole wa wcb!
Mipashoooo mingi!!Yani katika vitu vinavyowakosesha amani CLOUDS ni WCB.
Kiukweli tangu fiesta ianzishwe mpaka leo hakuna show mbovu kama show ya jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani watu walikuwa wachache sana mpaka wakashusha bei za tiketi lakini wapi hakuna aliyeingia mpaka wakaamua watu waingie bure lakini bado wakala za uso.
Clouds waliamua watu waingie bure ili angalau waonekane na wao walijaza ili waje kuvimbia WCB ,Ha ha ha ha daaah sijui walikuwa hawajui kwamba kizuri hujiuza kibaya chajitembeza .
Hiyo yote tisa kumi ni huyo anayejiita King , yani uharo mtupu show mbovu kupindukia mpaka hata clouds wameona aibu kumpost [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .
Kuna haka kalikorubuniwa katoroke WCB kisa ananyonywa ,huyu ni miongoni mwa watu ambao wana majuto makubwa sana kwa sababu kila anachokifanya kinabuma na anazidi kufubaa tu kila kukicha ,angalia hata nguo alizovaa jana ,ni aibuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Twende kwenye show sasa mpaka huruma angalau kidoooogo alipoimba Kokoro .
Clouds wamshukuru sana Chidibenzi angalau aliamsha amsha kidogo wengine wote chaliiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#HAWAAMINI WANACHOKIONA#
#SANAA IMEZALIWA UPYA#
#MCHEZO USIUCHEZEE WEWEE# KABISAAAAAAAA#.
Tatizo CMG nao mashabiki wanapenda figisu figisu kila siku kuwa wao Hamna mtu alifanyiwa figisu kama Majizo mpaka akapumzika kufanya matamasha baadaye ndio akarudi na EFM.Fiesta ikifa ni watu wengi sana wataumia mbali na clouds, nilitegemea utataja makosa lakini pia utatoa hata mwanzo wa nini unadhani kifanyike
Mnaoshabikia kufa kwa Fiesta na Clouds ilhali mnaishabikia wasafi bhasi hamjielewi..monopoly wote duniani hawana tofauti katika kutaka super normal profits. Kushindwa kwa mavoko sio kitu cha kufurahia maana itafika kipindi wasanii wa WCB nao watakabwa shingo na kwa hofu ile ile ya kutotoboa bila WCB kama ilivyokuwa clouds..watanyonywa zaidi
Nachoona kuwe na Festivals mbalimbali ili nguvu ya wasanii iwe kubwa maana akikosa Fiesta ataenda wasafi au mziki mnene..hii ndo itakuwa solution
Brother hizo figisu ni sehemu ya biashara ila ndo vile wabongo tumezoea biashara za kijamaa... walikuwa wanaua ushindani tu japo kwa upande wa jicho la kibinadamu ndo walifanya sio poaTatizo CMG nao mashabiki wanapenda figisu figisu kila siku kuwa wao Hamna mtu alifanyiwa figisu kama Majizo mpaka akapumzika kufanya matamasha baadaye ndio akarudi na EFM.
Moja ya tukio waliomfanyia Majizo ni lile tamasha lake aliwaita Busy signal, Tpain, Joe Thomas na Fat Joe leader club akalipigia promo miezi zaidi ya mwezi imebakia wiki, CMG bado wiki wanatangaza kumleta Fat Joe na Eve siku na tarehe moja kwenye viwanja vya Posta. Huwezi amini Majizo alikuwa hasara kubwa kwani watu walikuwa wachache sana, Jtatu Hando na Kibonde wakawa wanampiga vijembe vya mafumbo Majizo.
So huwezi jua hata hao Wasafi wanapitia nini, ila Wasafi nao fitina na uhuni wanajua na siku zote usipende kuwafanyia wenzio kile usichokipenda kufanyiwa ww.
Hii imekaa kiushabiki zaidiYani katika vitu vinavyowakosesha amani CLOUDS ni WCB.