Tuwasiliane mkuu pm kama bado hujapatanahitaji mtu wa kuniandikia field report, data zipo zote. degree ya education chuo cha open.
Idiot idiot, fanya kazinahitaji mtu wa kuniandikia field report, data zipo zote. degree ya education chuo cha open.
nahitaji mtu wa kuniandikia field report, data zipo zote. degree ya education chuo cha open.
Na atatoka na gpa ya 4... Kwa maajabu...nae ataitwa kichwaWe ni kilaza tu huna lolote
Na atatoka na gpa ya 4... Kwa maajabu...nae ataitwa kichwa
Hahaha hii ndio bongoElimu zetu zinasikitisha sana
Mtu hawezi hata kuandika field report alaf baadae unamkuta ni Mkuu wa shule flan
Mungu tunusuru
nicheki tuyajengenahitaji mtu wa kuniandikia field report, data zipo zote. degree ya education chuo cha open.
Njoo pmNahitaji mtu wa kuniandikia field report, data zipo zote. degree ya education chuo cha open.
Unazingua mzembe umeshindwa hata kufanya review za report zingineNahitaji mtu wa kuniandikia field report, data zipo zote. degree ya education chuo cha open.