Nyie bado mpo century ya kwanza, ndio maana hamfai kupata nchi. Grow upwapi na wapi mkutano unapangwa viti
Ngoja wanaume kazini waingie ndio muuone moto anaenda kununua nyanya Tandale anajaza kama huo mkutano wenu akiandaa mkutano si ndio funga kazi? NyambafDuh naona CCM wamechokozwa sasa wanashambulia kama nyuki. Kila kona ya Tanzania wapo wanakamua kwa kwenda mbele. Field Marshal naye kumbe amejimegea kipande chake na anakamua huko kwa sera za CCM. Nasikia Nape na wengine wapo sehemu mbalimbali.
kwa hakika CHADEMA wataisoma namba kwani haya makamuzi yatamtoa mtu kamasi na damu za pua.
Ukiwa mpumbavu huwezi kujua hilo.wapi na wapi mkutano unapangwa viti