chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,711 Reaction score 31,325 Jan 28, 2024 #21 Magulumelafulu said: Hivi pale Mikumi kwa nini wazo hilo lisiende kujenga hilo daraja Click to expand... Mikumi kuna wazo linachakatwa kuichepusha ile barabara, endelea kuwa na imani na serikali yako, haya mambo yanafanyika nchi nzima
Magulumelafulu said: Hivi pale Mikumi kwa nini wazo hilo lisiende kujenga hilo daraja Click to expand... Mikumi kuna wazo linachakatwa kuichepusha ile barabara, endelea kuwa na imani na serikali yako, haya mambo yanafanyika nchi nzima
D DUBE JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 253 Reaction score 241 Jan 28, 2024 Thread starter #22 Njoo Nyatwali beach resort ujione uwekezaji wa mamiilon ya pesa.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,711 Reaction score 31,325 Jan 28, 2024 #23 DUBE said: Njoo Nyatwali beach resort ujione uwekezaji wa mamiilon ya pesa. Click to expand... Hao wananchi wakihama, Nyatwali itakuwa kama Zanzibar, mahoteli kila kona
DUBE said: Njoo Nyatwali beach resort ujione uwekezaji wa mamiilon ya pesa. Click to expand... Hao wananchi wakihama, Nyatwali itakuwa kama Zanzibar, mahoteli kila kona
D DUBE JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 253 Reaction score 241 Jan 28, 2024 Thread starter #24 Ujui wewe unachoongea brother Anyway acha nikuache hivyo kila la kheri.
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 25,977 Reaction score 25,303 Jan 28, 2024 #25 Lipeni watu fidia Mambo ya Wizi wizi mmeyafanya Jadi NYATWALI jivueni Usisiemu andamaneni mpaka Bunda ofisini kwake....dakika 5 mtapata NAJIBU..... Ndoho tabhu ITAWAKOSTI
Lipeni watu fidia Mambo ya Wizi wizi mmeyafanya Jadi NYATWALI jivueni Usisiemu andamaneni mpaka Bunda ofisini kwake....dakika 5 mtapata NAJIBU..... Ndoho tabhu ITAWAKOSTI
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 46,334 Reaction score 57,157 Jan 28, 2024 #26 chiembe said: Jangwani watu wameanza kufidiwa, watu wa Nyatwali wakae mkao wa kula, mambo mazuri, mazezele mazezele, yanakuja. Waanze kutafuta viwanja Lamadi, Bariadi, au Makao Makuu ya Wilaya kule Nyashimo wakarogane vizuri na wenzao Click to expand... Aliyefidiwa nani jangwani?oyaa acha saund ujue.tuliambiwa mradi unaanza mwezi wa nne mwaka jana leo lini?
chiembe said: Jangwani watu wameanza kufidiwa, watu wa Nyatwali wakae mkao wa kula, mambo mazuri, mazezele mazezele, yanakuja. Waanze kutafuta viwanja Lamadi, Bariadi, au Makao Makuu ya Wilaya kule Nyashimo wakarogane vizuri na wenzao Click to expand... Aliyefidiwa nani jangwani?oyaa acha saund ujue.tuliambiwa mradi unaanza mwezi wa nne mwaka jana leo lini?
Magulumelafulu JF-Expert Member Joined Jul 8, 2021 Posts 621 Reaction score 709 Jan 28, 2024 #27 chiembe said: Mikumi kuna wazo linachakatwa kuichepusha ile barabara, endelea kuwa na imani na serikali yako, haya mambo yanafanyika nchi nzima Click to expand... Hahahaha mi yangu macho hahahaha
chiembe said: Mikumi kuna wazo linachakatwa kuichepusha ile barabara, endelea kuwa na imani na serikali yako, haya mambo yanafanyika nchi nzima Click to expand... Hahahaha mi yangu macho hahahaha