Jamani wanajamvi habarini za muda huu. Naombeni msaada kuhusu fidia ya kulipia gari lililogongwa na sheria inasemaje kuhusu matengenezo ya magari yaliyogonga. Msaada wenu please. Naomba kuwasilisha.