Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 99
Na mie ntazuka kiubishi ubishi, nani hapendi kinywaji............!!!!!!!!!!!!!!!!!natumia vitakavyokuwepo!
Hahaaa mzamiaji huyooo.
Na mie ntazuka kiubishi ubishi, nani hapendi kinywaji............!!!!!!!!!!!!!!!!!natumia vitakavyokuwepo!
Mkuu Fidel UMEDONDOKEWA nini?
Hii pati wamealikwa wanaume tu au na sie tumo?