I'm glad you raised this issue man, thought I was being a hater. I don't believe in keeping it real/right or whatever, just keep it you, and that's that. Farid is giving up to the pressure, ile video haiendani kabisa na stigity ya mshkaji, wala muziki wake. kosa la kwanza alilofanya, ni mtu aliyemwamini kuongoza hiyo video take. Ni muongozaji mzuri, ila kwa aina nyingine za muziki.
well said brother, and i'm glad nawewe pia umeliona hilo.
Frankly speaking, ile video haiendani kabisa na hip-hop image of FID Q tunaemjua since aanze game. Ukitazama videos zake zote za nyuma utaelewa nachomaanisha. Possibly ni shooting director ndo aliongoza video iwe na mandhari hayo ama ni Fid mwenyewe ndo alitaka video yake iyo itoke ktk mikato iyo with new swags. Je unadhani ni kosa ambalo Fid hakujua ama ni deliberate strategy for being dynamic commercial-wise?
-Kaveli-
I'm professional ndo video Kali kuliko zote toka kwa Fid
Hii bongo hip hop sio kabisa
I'm professional ndo video Kali kuliko zote toka kwa Fid
Hii bongo hip hop sio kabisa
mkuu, say it as per your perception!
Labda tuanzie hapa: Unaangalia vigezo vipi kuconclude kwamba video zote za Fid ni mbovu kasoro FID Q.COM?
-Kaveli-
I'll tell you what man, Fid's styles & graces kwenye kuvaa are pretty lame kwa ujumla. Hiyo mikato aliyojaribu kwenye video, haiendani kabisa na body structure yake, let alone Hip-hop. He should be smarter to know that.
Like i said, he's giving up to the pressure kwa namna flani, Labda yeye pamoja na muongozaji wake waliangalia 'videos za Hip-hop' za kina K.O, Casper Nyovest, sijui Ice Prince ambazo ndio zinazogongwa sana vituo vya kimataifa, ndio wakaamua waje kivile. Kila kitu kwenye ile video ni kibovu, kuanzia character yake mwenyewe, mazingira, mpaka idea ya kuwaweka wale ma-manzi kwa namna ile.
Shida ni moja, wabongo tunaishi kwa unafiki na akili za kushikiwa. Kuna watu flani wakisema kitu basi wote tunabariki kama walivyosema. NIlicheki kwenye social networks baada ya hiyo video kuachiwa, karibu kila mtu aliisifia.
Vipi lakini mkuu, East Cost Team inafufuka lini? Tunamiss ladha za Crazy G.K ktk hip hop.
-Kaveli-
kwa mara ya kwanza huu ni wimbo wa fid q ambao haujanivutia kabsa
niliuangalia mara moja tu sijarudia tena!
kwa mara ya kwanza huu ni wimbo wa fid q ambao haujanivutia kabsa
niliuangalia mara moja tu sijarudia tena!
Katika video mbovu na ikapewa promo nyingi pamoja na kusifiwa sana ni hii ya Bongo hip hop, sijui alifanya maksudi sababu watu walitaka video yake kabla ya kutoa audio BENDERA YA CHUMA.... Nisher nahisi pia alistuka kuwa amebugi hadi akaamua kuto kutoa teaser hadi iwe official realsed
Sina uhakika ni lini.
Gk katoa ngoma inaitwa shukrani kapiga ile michano yake but kama yupo slow hivi!!
I miss Gk wa " komaa nao"" wamejichanganya, itikadi .
May be itakwepo,let's wait
Mkuu tupo pamoja hapa, GK ni yule wa kipindi kile cha Komaa nao, Itikadi, Hii leo, Ama Zangu Ama Zao, Kosa langu, Nitakufaje, akirudi katika ubora ule hakika atarudi kwenye game, sio hizi nyimmbo anaimba sikuhizi kama baraka au laana ni matakataka matupu. Nilimsikia kwenye show ya mkasi EATV akajisifia atarudi katika ule ubora wake na sasa ataimba nyimbo za maana zaidi kama msomi wa shahada ya uzamiri, huu wimbo mpya kidogo anasikilizika.