Fid Q: Bongo Hip Hop saviour

Huyo ndo fid q bana a.k.a ngosha dah kwa mala ya mwisho nilimuona shinyanga ktk tamasha la fiesta.jamaa namkubari sana hasa mashairi yake na vina duh!! Asante mtoa link. Ngoja niludi ktk hiyo blog nikamsome tena huyu ngosha.
 
Naomba kujua mbona yuko karibu na Mzee Zahir baba ya Banana.Ukimtizma Mzee yule wanafana na FiD Q,isije kuwa ni Baba na Mwana au?Nisaidieni.
 
ila jamaa anapanch za maana lakini asipoangalia ntamvua uprofesa wa kitaalojia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom