Kama wanachokita ndo kile waziri mkuu alichokiongea jana serikali haitakuwa na uwezo wa kuwatimizia pole yao tuone mwisho wao utaishia wapi.
Nadhani wewe uko TISS
Upuuzi wote huu na bado tunajivuna Tanzania tunayo democracy. Democracy my foot! Democracy bila freedom of assembly and expression si unafiki tu.
Iron minded government!
kumbe pinda naye anafikiri kwa kutumia masaburi!!!anaenda kuwapiga virungu lakini baadaye asianze kumwaga mchozi wake wa mamba...
Pamoja na mapungufu mengi ya TISS lakini haiajiri watu Bogus kama huyu.Nadhani wewe uko TISS
Ha ha ha ha serikali inachekesha... siku hizi mkutano sio lazima watu wakutane uwanjani,ukumbini au barabarani
Madaktari mgomo kuanzia sasa uko online kwenye mitandao jamii.. kila kitu online-mikutano mpaka maandamano online
walipue fibre optic labda
Hivi huna ndugu yeyote anaye belong katika pauper class? Manake comments zako zinaashiria ukoo wako wote ni member wa elite class: ikulu, benki kuu, na balozi zetu huko ughaibuni basi. Na hivyo unaridhika na status quo
Upuuzi wote huu na bado tunajivuna Tanzania tunayo democracy. Democracy my foot! Democracy bila freedom of assembly and expression si unafiki tu.