'FFU' wa Uingereza wamewashushia kipigo wandamanaji.....

'FFU' wa Uingereza wamewashushia kipigo wandamanaji.....

Waandamanaji laki mbili na nusu jana walikuwa wanapinga spending cuts, hawa walifanya maandamano yao kwa amani na utulivu. Kuna kundi jingine la wahuni wanaojiita "Anti-capitalists and Arnachists" hawa walivamia maandamano na kuanza kuharibu mali kwa kuchora na kuchoma moto mapipa ya takataka wakiwa katika opposite side ya maandamano hayo, hawa ilibidi polisi wakabiliane nao kwani kwani kulikuwa na criminal offences and trespasses, 75 walitiwa nguvuni. This is what happened
 
Back
Top Bottom