Festus Makerubi (TBC1) acha mbwembwe kwenye vipindi vya dini

Umesema anapenda sana kwaya za wanawake lkn ukiangalia kwaya zote karibu idadi kubwa ni wanawake sorry kama nimenukuu vby
Rudi kasome tena, halafu jiridhishe. Mimi comment yangu ni tofauti kabisa na aliyeanziaha huu uzi
 
Haka kajamaa kana sauti fulani hivi amazing ya kikekike. Shida sasa anaposofiwa huwa anazidi sana kubana koo lake.

Anapenda sana kwaya zenye wanawake watupu hasa waKiroma. Anapenda sana kuhoji ama kudeal na upande wa +ke tu.Mfuatilie tu vipindi vyake utamuona anavyopenda kujikweza mno.

Happy Easter!
Anavipindi vingapi vya dini?
 
Hamia Ting,mtu anakukwaza bado upo tuu na thread unafungua!
 
Haka kajamaa kana sauti fulani hivi amazing ya kikekike. Shida sasa anaposofiwa huwa anazidi sana kubana koo lake.

Anapenda sana kwaya zenye wanawake watupu hasa waKiroma. Anapenda sana kuhoji ama kudeal na upande wa +ke tu.Mfuatilie tu vipindi vyake utamuona anavyopenda kujikweza mno.

Happy Easter!
Hii roho uliyonayo ,bado kuwa mchawi tu
 
Walokole na Wasabato mna shida sana.

Kanisa Katoliki likitangazwa mnakereka sana.

Mnatafuta na kusema hata yasiyokuwepo.

Kanisa Katoliki ni Kanisa na taasisi kubwa na kongwe.

Hizi fitina zenu hazisaidii
Shikamooo nilikuwa ninawatafuta greater thinkers You're the one.
Hoja safi , umejibu vizuri mkuu.
 
Back
Top Bottom