Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Ameeleza hayo akiwa Bungeni, leo Juni 17, 2025 kwa kusema "Ndani ya miezi 9 tumeweza kununua Tani 5.2 za dhahabu safi. Hili ni jambo kubwa sanaa katika kipindi hiki chenye geopolitics tensions na political instability Duniani."
Pia soma ~ Benki Kuu ya Tanzania kuuziwa 20% dhahabu inayozalishwa na Shanta, Geita Gold Mine, Buckreef Gold