Ferry miaka hiyo!

Ferry miaka hiyo!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,907
Reaction score
15,152
image.jpg
Ferry enzi hizo, minazi mpaka baharini.
Kigamboni miaka hiyo pori!
 
Mkuu Salamander nimetafuta kitufe cha like sikioni, ahsante.
 
Last edited by a moderator:
Wana akili ndio maana wakauza maeneo yote.

Mbona hadi leo ni masikini wa kutupwa? Wangeyahodhi leo hii sijui wangekuwa wapi?
Hao waliowauzia wamewaajiri kuwa walinzi wa maeneno hayohayo.
 
Back
Top Bottom