Kila shetani na zama zake,imebaki story tu, nikikumbuka enzi hizo amezawadiwa Jeep na mkapa mda mwingi alikuwa anakuja UDSM kulamba watoto wakare ila sasa hadi huruma.
komaa ferooz utarudi,bado haujapotea kwenye ramani ya bongo fleva kwanza mziki wenyewe hauleleweki huu watu wanatoka na nyimbo nai nai wanahit,komaa mwana kaza hapo ulipo sio pabaya
Bongo bado mziki sio ajira rasmi bado ni maisha ya kubahatisha tu,hata hao tunaosema wamefanikiwa nao bado hawana foundation nzuri endepo akianguka hana pakusimamia tena..!!hatuna wafanya biashara wa kazi za muziki,hatuna record label nzuri,hatuna maandalizi mazuri ya wasanii wanao chipukia,muziki wetu hauna direction yaani hatuna tune ya kitanzania kwamba ukiwa cameroon au SA ukisikia wimbo unajua huu ni wanyumbani bongo..!!Kwenye sanaa bado kunaujanja ujanja thats why i prefer Bongo HipHop