Smart Contract JF-Expert Member Joined Sep 24, 2014 Posts 1,453 Reaction score 3,472 May 20, 2023 #21 Kalamu Nzito said: Fasihi iliyokomaa haipindishi facts. Utaelimishaje jamii kwa facts za uongo? Nyimbo ni nzuri ila ina kasoro kwenye jicho la kisheria. Click to expand... hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea, ni facts za uongo ila ujumbe unafika na ni kazi ya fasihi pia
Kalamu Nzito said: Fasihi iliyokomaa haipindishi facts. Utaelimishaje jamii kwa facts za uongo? Nyimbo ni nzuri ila ina kasoro kwenye jicho la kisheria. Click to expand... hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea, ni facts za uongo ila ujumbe unafika na ni kazi ya fasihi pia
K Kb Ulayaulaya JF-Expert Member Joined Jan 5, 2023 Posts 802 Reaction score 1,156 May 21, 2023 #22 Mbona sheria zetu zipo kwa lugha ya kiingelezq,wakati lugha yetu ya taifa no KISWAHILI. Hivyo utaalam wenu pelekeni huko. Tuleteeni mada jengefu.
Mbona sheria zetu zipo kwa lugha ya kiingelezq,wakati lugha yetu ya taifa no KISWAHILI. Hivyo utaalam wenu pelekeni huko. Tuleteeni mada jengefu.
Kalamu Nzito JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 376 Reaction score 850 May 21, 2023 Thread starter #23 Kb Ulayaulaya said: Mbona sheria zetu zipo kwa lugha ya kiingelezq,wakati lugha yetu ya taifa no KISWAHILI. Hivyo utaalam wenu pelekeni huko. Tuleteeni mada jengefu. Click to expand... Mada zinazojenga ni pamoja na hili la kudadavua Sheria. Ukivunja sheria, utaadhibiwa tu na kusema kwamba zimeandikwa kwa kiingereza hukuelewa haitakusaidia wakati huo. Karibu tuendelee kujifunza.
Kb Ulayaulaya said: Mbona sheria zetu zipo kwa lugha ya kiingelezq,wakati lugha yetu ya taifa no KISWAHILI. Hivyo utaalam wenu pelekeni huko. Tuleteeni mada jengefu. Click to expand... Mada zinazojenga ni pamoja na hili la kudadavua Sheria. Ukivunja sheria, utaadhibiwa tu na kusema kwamba zimeandikwa kwa kiingereza hukuelewa haitakusaidia wakati huo. Karibu tuendelee kujifunza.