wakuu joto limekuwa kali sana uku kwetu
mbagala... kuna fen nasikia unaweka maji then
inatoa mvuke kama air condition.... naweza
kupata wapi hizo feni na bei yake ikoje?
Hiyo feni inaweza ikawa mbaya kwa afya. Ushasikia matatizo ya mapafu kujaa mma?
This is one of the reasons. Kama nimekosea naomba @mzizimkavu arekebishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.