Feminelle special care

Feminelle special care

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
2,007
Reaction score
1,599
*Habari za Mchana dears*

_Heri ya mwezi mpya yaani mwezi June kwa mara nyengine tena_

*_Badili maisha yako kwa kuanzia na Sh elfu kumi tu_*

Narudia ni *Tsh10,000 tu* ya kitanzania itakuwezesha kuwa na uhalali wa mfumo utakaokuongezea kipato endelevu kila siku, kila mwezi na kila mwaka endapo utaamua leo.

Huu ni mwaka 2018,
Kama unatarajia maisha yabadilike ili uweze kuwa na unafuu wa ugumu wa maisha anza leo kuwa na mtazamo tofauti wa kusubiria mafanikio yako.

Maana ukiendelea kusubiri hata 2019 ndo utaikaribisha kwa style hiyo pia.

Unajua unapo subiri unaona kama muda hauendi, na usipozingatia sana unakuta miezi inakatika na wewe bado unaendelea kusubiri mambo yabadilike.

Ni juzi tu tulikuwa kwenye mwaka mwingine 2017 leo ni mwezi wa sita 2018 bado miezi michache tu 2018 nao uwe zilipendwa na hautorudi tena.

_*Je ni nani unamsubiria aje kubadilisha hali ya maisha yako?*_

Ninaposema *Tsh 10,000 tu* namaanisha hii itakuwezesha kufanya manunuzi ya bidhaa zako za usafi wa mwili wako, vipodozi na urembo tena vyenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu kabisa.
Mfano:
_Feminelle special care_ utakayoinunua kwa *Tsh19,200* na ukaweza kuitumia kwa zaidi ya miezi 7 na kukuweka vizuri mwaka mzima, na kukukinga na matatizo mbalimbali yanatokea katika mabadiliko ya mwili wako :-
Muasho sehem za Siri
UTI
pH imbalance
Bacterial diseases
Na mengine mbali mbali ambayo yanasababishwa na mzunguko wako wa mwezi(Hapa kwa kina mama)

Fikiria utakuwa umeokoa kiasi gani cha gharama za matibabu mbali ya usumbufu wa kwenda kupanga msururu wa kumsimulia Daktari kuhusu shida yako ya siri ambayo hata mzazi,mlezi au rafiki yako huwezi kumwambia.
Itakugharimu si zaidi ya *Tsh1,100* kwa mwezi kuhifadhi afya ya mwili wako na kukuepusha na yote hayo tuliyoyataja.

Na isitoshe ukimsaidia mwanamke kwa kushare nae Product hii nae ukamsaidia kupata faraja juu ya tatizo hilo, utaweza kutengeneza faida ya hadi Tsh5,000 kwa kila chupa moja ya _Feminelle Special Care_*+*

*Ukiamua kushare kwa wa 20 tu kwa mwezi huu wa June*
Faida 30% = *Tsh100,000*

*Ikishirikiana na watu 6 tu na wakafanya Kama wewe*
Utarejeshewa zaidi ya *Tsh1,300,000* Kama bonus ya mwezi na kampuni.
Utapongezwa na kupata certificate ya *Senior Manager* na kampuni.
Utakuwa umefungua cheo cha *Director*
Utapokea zawadi yako ya *$1,000* ndani ya miezi 6.

Hapo tayari una kipato cha *Tsh1,400,000* kila mwezi kwa kuwasaidia wengine kutatua tatizo lao kimwili na baadhi kifedha.
_*Je? Tsh10,000 bila ya uwekezaji huu inafanya mangapi?*_

Tafadhali comment chini maoni yako au tuwasiliane kama unataka nawe kunufaika na uwekezaji huu
*Mr.said mwango*
*Entrepreneur*
*Text/call 0759827138
IMG_20180606_155150_616.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom