Kwao sio Tabata, kama sio mikocheni Basi Mbezi beach nadhaniKama kongomani mmeshindwa kuishi na mtu bora mwanachama wa jamii forum joseph kabila ni heri mumrudishe Tanganyika amalizie siku zake kwa wema.....
KumradhiKwao sio tabata,Kama sio mikocheni Basi Mbezi beach nadhani
Ni Kunradhi mkuu, siyo Kumradhi.Kumradhi
Atakuwa kama MobutuHiyo sio nzuri, akitengeneza maadui wengi wenye nguvu ataanza kung'ang'ania kubaki madarakani kwa usalama wake.