Nakazia.Mh,mwanaume kuandika majungu tena mambo yaliyopita ni dalili mbaya sana aisee
Anacheki tu kwenye luninga, mbona sasa mama hamsaidii, wazanzibar wanavyosaidiana hadi kwenye mambo ya ajabu kama haya, ati rais anaingilia jamob la uyu faizattoto kwasababu tu ni mzenji, si ajabu hii? anaisoma namba tu. jeuri na kibri wakati bado saana mpira hajui.Pale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu.
Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati.
Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba.
Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA.
Binafsi ninaamini wewe haukuwa na Baraka kwenye klabu ya Yanga maana ulivyoondoka tu NDIPO MWENYEZI MUNGU AKASHUSHA NEEMA YA MAFANIKIO NA TIMU KUFANYA VEMA ZAIDI KIMATAIFA.
Anyway huenda na wewe huko Azam umewapelekea Baraka za mafanikio ya ligi ya ndani na kimataifa.
Halafu mimi niliamini wewe ni mchezaji mkubwa lakini ulivyoondoka ndipo nikajua kumbe hata Ihefu unafiti.
Nakumbuka jinsi wanahabari walivyokutumia ukawa unaropoka live. Hivi wale jamaa huwa wanakupigia hata simu kukusalimia kweli.
Halafu ulinifurahisha pale uliposema Engr Hersi Saidi akiondoka wewe unarudi Yanga siku hiyohiyo. Hivi ulimaanisha tumtoe Engr Hersi halafu wewe urudi KUTUFIKISHA HII HATUA YA ROBO FAINALI ya Caf tuliuopo sasa!!!!!
Yeah,too muchNakazia.
Hatariii tupu.Yeah,too much
Mvumilivu hula mbivu mzee. Kama ipo ni ipo tu.Unataka alewe sifa huku akilipwa kidogo?, au akose sifa ila ale mpunga mrefu?.
Hakika mkuuKwa hiyo kutafuta kipato zaidi ni kosa? Acheni nongwa bhana, maisha yaendelee. Kila mtu anatafuta maisha siyo kufurahisha walimwengu huku ukilia na umasikini.
Mpira ni ajira ya muda mfupi sana, usipotumia vema fursa, utabaki kutaabika huko mbeleni.Mvumilivu hula mbivu mzee. Kama ipo ni ipo tu.
Hawa jamaa wanagubu kama vile huyo kijana walimtolea mahari. Jinga thana.Yeah,too much
Inashangaza!Hivi ulimaanisha tumtoe Engr Hersi halafu wewe urudi KUTUFIKISHA HII HATUA YA ROBO FAINALI ya Caf tuliuopo sasa!!!!!
Wanasikitisha mnoHawa jamaa wanagubu kama vile huyo kijana walimtolea mahari. Jinga thana.
Nje ya mada,hongera sana mkuu....una weusi mzuri sanaHawa jamaa wanagubu kama vile huyo kijana walimtolea mahari. Jinga thana.
shida ni kwamba alilelewa vibaya, ati anakuja kusema harudi yanga kama rais hajaondoka, alitaka kujifanya yeye ni wa muhimu saaana yanga asiporudi yanga kwishney? akalambe icecream huko.Hawa jamaa wanagubu kama vile huyo kijana walimtolea mahari. Jinga thana.
Hamna majungu wala ukweli mtupu ameandika, yaani aondoke eng arudi yeye shubamitMh,mwanaume kuandika majungu tena mambo yaliyopita ni dalili mbaya sana aisee
Halafu baadae waje wamtekeleze, kuna wachezaji kibao wame Cheza hizi timu kubwa hata wakiumwa TB inabidi bakuli litembee. Ukipata chance piga hela.Unataka alewe sifa huku akilipwa kidogo?, au akose sifa ila ale mpunga mrefu?.