Business strategy mtu wangu...Sina tatizo na Fei Toto kua X-Factor player, kibongo bongo ana hiyo sifa. Shida yangu Mimi ni mtu kuanzisha kampeni ya utapeli ili imsaidie kuuza jezi kwa kuwadanganya watu kua X-Factor player ananunuliwa kwa michango ya mashabiki kupitia kununua jezi. Hela ya kuvunja mkataba wa Fei Toto ilikua 1B kabla hasaini mkataba mpya sijui kwasasa, ila tusimamie hapo kwenye 1B. Haya, dirisha la usajili linafungwa Jmosi hii tar.15. Zitauzwa jezi ngapi kupata hiyo 1B? Na hizo jezi mzabuni akiuza hiyo 1B yote atapeleka kumnunua Fei Toto halafu yeye anafaidikaje? Kuna mfanyabiashara anaweza kufanya hicho kitu hapa Duniani? Then ni kitu ambacho hakipo hata kwenye mkataba na Club. Mi nadhani watu wanunue jezi jamaa aridishe pesa zake kwasababu asipomleta huyo X- Factor Player hakuna cha kumfanya wala pa kumpeleka hakuna. All in all hakuna mchezaji Duniani ananunuliwa kwa style hiyo, kuna muda baadhi mashabiki na influencers wa hivi vilabu vyetu viwili wanakua kama wehu hivi.
Uko sahihi kwasababu jamaa wamemfyatulia jezi feki kibao ziko mtaani kama last season tu afu club ni kama wamfungia vioo hivi so kaamua kwenda front mwenyewe na kuja na hiyo style ya kuuza mzigo wake wote uishe. Tatizo langu kwake ni yeye mwenyewe kutaka kujifanya kama sehemu ya uongozi wa club badala ya kubaki kwenye nafasi ya mzabuni wa jezi. Jamaa wanaona kama anawadharau kutaka kuingilia mambo ya utawala. Kwa hizi timu zilivyo jamaa a-supply tu jezi zake akae pembeni, haya mambo sijui ya kutaka kujenga uwanja mara kununua wachezaji..jamaa wakiamua kumhujumu atajutia maisha yake yote kufanya nao biashara, na huo uwezo wanao kwasababu jezi feki mtaani zinatokea wapi? Mtu hawezi kutoka tu Kigoma ama Mtwara akafyatua jezi feki Mzee 😅Business strategy mtu wangu...
Hapo wanasimba wasubirie mchezaji wa nje tu ila sio FEI.. It's a tough risk
Nadhani jezi zimemdodea, ziko kama shumizi na timu haishindi na bei ya jezi ni kubwa.Sina tatizo na Fei Toto kua X-Factor player, kibongo bongo ana hiyo sifa. Shida yangu Mimi ni mtu kuanzisha kampeni ya utapeli ili imsaidie kuuza jezi kwa kuwadanganya watu kua X-Factor player ananunuliwa kwa michango ya mashabiki kupitia kununua jezi. Hela ya kuvunja mkataba wa Fei Toto ilikua 1B kabla hasaini mkataba mpya sijui kwasasa, ila tusimamie hapo kwenye 1B. Haya, dirisha la usajili linafungwa Jmosi hii tar.15. Zitauzwa jezi ngapi kupata hiyo 1B? Na hizo jezi mzabuni akiuza hiyo 1B yote atapeleka kumnunua Fei Toto halafu yeye anafaidikaje? Kuna mfanyabiashara anaweza kufanya hicho kitu hapa Duniani? Then ni kitu ambacho hakipo hata kwenye mkataba na Club. Mi nadhani watu wanunue jezi jamaa aridishe pesa zake kwasababu asipomleta huyo X- Factor Player hakuna cha kumfanya wala pa kumpeleka hakuna. All in all hakuna mchezaji Duniani ananunuliwa kwa style hiyo, kuna muda baadhi mashabiki na influencers wa hivi vilabu vyetu viwili wanakua kama wehu hivi.