feedback ya kikao na mkurya

safi sana, nimefurahi kusikia kuwa hili suala limekwisha maana nilikuhurumia sana kwa jinsi ulivyokuwa na ule woga. Ni maisha tu haya ndio maana wanasema kua uyaone...hongera kwa kulimaliza ndg yangu, nawe pia Mwenyezi Mungu awe nawe daima.
 
haaa haaaa da suzy kaa naye kwa akili sana huyo shem wangu. halafu hakikisha anakuwa mbali na vitu vyenye ncha kali.
DEMBA ulikua unanipa mawazo
kweli, nilikua nawaza nn hatma yk, ww siunajua shemeji yako mkurya?
kanikosakosa kunitoa nundu mara kadhaa!! Nilijua hii ni zamu yako,
bahati yk angekun'goa meno ya sting room. chezea mkuria ww.....
 
ahsante mpenz
safi sana, nimefurahi
kusikia kuwa hili suala limekwisha maana nilikuhurumia sana kwa jinsi
ulivyokuwa na ule woga. Ni maisha tu haya ndio maana wanasema kua
uyaone...hongera kwa kulimaliza ndg yangu, nawe pia Mwenyezi Mungu awe
nawe daima.
 
Afadhali kawa mpole na mkweli kwako, huo uamuzi uliochukua ni mzuri. asante kwa feedback.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…