Feedback(topic kwa wasio na ajira waishio Dar es salaam.....)

Feedback(topic kwa wasio na ajira waishio Dar es salaam.....)

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,789
Reaction score
4,842
Rejea mada tajwa juu. Mnamo mwezi wa 12/2012 nilikuja na mpango wa kuwaunganisha vijana wa Dar es salaam wasio na ajira,lengo la mchakato Huo ilikuwa ni kuunganisha pamoja nguvu za vajina hao kwa ajili ya fursa mbalimbali za ajira binafsi.wote kadhaa waliitikia wito huo.lakini zoezi hilo halikufanikiwa kwa kiwango kikubwa kwa sababu zifuatazo:- 1 wengi wa walioomba nafasi ya kushiriki hawakuwa tayari kutuo muda wao kwa ustawi wa initiative hiyo. 2.baadhi ya waliojiunga si wale waliokidhi vigezo bainishwa kwa mfano baadhi ya Watusi walikuwa waajiriwa na walikuja na agenda zao zilizofunika agenda za mwanzoni ukizingatia kwamba initiative hii ilikuwa ktk hatua za mwanzo kushindwa kuhandle baadhi ya changamoto 3.wengi wa waliojiunga walikuja kwa nia ya kufanya majaribio na hawakuamini kwamba wao ndio wangejenga initiative husika ,hizo ndio baadhi ya ya vikwazo vilivyoizuia hiyo njozi kufika ilipokusudia. Way forward. 1 bado wazo la kuwakusanya vijana wa kitanzania walioenda Shule na wasioenda shule hususa ni kwa wale wasio na ajira au Walio KGB ajira isiyorasmi kwa ajili ya kuwa na mfumo ambao utaweza kuwaweka vijana ktk mfumo ulio na manufaa kwa jamii na taifa kwa ujumla. Kwa wale wataoelewa hili wanaombwa kuja na mawazo ya kulifanikisha hili,Mwisho tunafikiria kuwa na forum kubwa ya vijana kwa ajili ya vijana na taifa kwa ujumla(hi forum ni none political) Kama unahisi we in mtu sahihi kwa mchakato Huu basi tuwasiliane ktka private message(PM) ili tuelekezane namna sahihi ya kulifanya hili.nawasolisha
 
Back
Top Bottom