Feedback: Kuhusu biashara ya mbuzi na ng'ombe

 
Nataka kuanza kufuga mbuzi,akili yangu inanituma ni mifugo isiyo na changamoto kubwa,hasa za kimagonjwa,nahitaji ushauri makini sana,nahitaji mbuzi wa mapacha,nataka kufuga kwa njia ya kuwaachia shambani wale majani wao bila kuwaletea,nataka kufanya kama ranch fulani ndogo?,naomba more deep details za ufugaji wake,najua hawapendi maji na banda lao ni vizuri liwe juu juu,palipo tandikwa mabanzi!...
SILLENT KILLER 2
 
Mkuu salama Crocodiletooth kwa ushauri tu mbuzi wa pacha wale asili ni ngumu kdgo kupata kutokana mabadiliko y. maisha lakni mbuzi ni wazur san asikwambi mtu.
Unachotakiwa kama una lengo la kuanza na mbuzi 20-30 hakiki ni wale ambao hawajawahi kuzaa au walio zaa mara 1,pia mdume mawilh hata ukipata chotara haina shida.
Pia mbuzi huwa hapendelei maji sana ikitoke kwa bahati tu.
Kuhusu mabanda unaweza ukateneneza kwa mbao au masanzu lakini yale ya mbao ni mazur sana.
Karibu ndugu
0623297330 kwa maelezo zaid
 
Asante sana mkuu!../ narudi shamba sitaki maisha ya mijini narudi kufuga na kulima lakini kufuga ni kwa 80%.
Nitakucheki kwa ufafanuzi zaidi.asante sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…