Subira inahtajka kijana!! Hata mwezi haujaisha
jamani hata nyepesi nyepesi hakuna!! Au waliofanya usaili hii Nafasi ni wachache humu jukwaaniKwa wale tuliofanya Usaili wa Human Resources Officers na Adiministrative Officers tar. 4 na 5 April Tume ya utumishi wa mahakama national stadium tukutane kwenye uzi huu tupeane updates. Ni wiki ya pili sasa hawa jamaa bado wapo kimya! Lini wanatoa majibu?? Mwenye taarifa tafadhal
basi watoe majina then kuhusu kwenda kazin hata mwaka kesho poa tuWakuu naskia kuitwa kazini ni mpaka baada ya bunge la budget!
Vamilia utaitwa ucjalijamani hata nyepesi nyepesi hakuna!! Au waliofanya usaili hii Nafasi ni wachache humu jukwaani
Vamilia utaitwa ucjali
Vamilia utaitwa ucjali
Poa don maana majotoVamilia utaitwa ucjali
Asee watoe majina tuu tunawekwa njiapanda tuu
Nasikia majina yanatoka kesho jumatatu. Stay tuned.[/QUOTs source of information??
Nasikia majina yanatoka kesho jumatatu. Stay tuned.
mkuu jumatatu ndio leo!