Mkuu ni Position gani? Kama upande wa tigo nasikia bado
infinity ndo kitu gani................tunaomba adress yao basi ili tuwajue
tiGo tiari asee, wanaanza kazi mwezi ujao
daaaaaaaa najua bado ila kwa upande wa position ilikua ni tigo bima jaribuni kuwa uliza waliopata wamepata nafasi gani?
siwa eliwi naomba mnisaidie