I Inosent Member Joined Nov 19, 2012 Posts 18 Reaction score 1 Nov 19, 2012 #1 naomba kama kuna mtu alifanya interview infinity anipejibu kama amepigiwa simu
Aggrey86 JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 853 Reaction score 155 Nov 20, 2012 #2 Kuna jamaa alifanya pale embu ngoja nimuulize thn utapata jibu kijana wangu!
A aloycev Member Joined Aug 6, 2011 Posts 22 Reaction score 4 Nov 20, 2012 #3 Wana usaili mingi sana wale, kama unaulizia ya tiGo, tiari washachagua watu
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,980 Nov 20, 2012 #4 infinity ndo nini?
I Inosent Member Joined Nov 19, 2012 Posts 18 Reaction score 1 Nov 20, 2012 Thread starter #5 nisaidieni nijue kimoja kama nimekosa ajira niendelee na ujasiriamali
Aggrey86 JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 853 Reaction score 155 Nov 20, 2012 #6 Mkuu ni Position gani? Kama upande wa tigo nasikia bado
O OgwaluMapesa JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 10,942 Reaction score 437 Nov 20, 2012 #7 Infinity ndo kitu gani................tunaomba adress yao basi ili tuwajue
A aloycev Member Joined Aug 6, 2011 Posts 22 Reaction score 4 Nov 21, 2012 #8 Aggrey86 said: Mkuu ni Position gani? Kama upande wa tigo nasikia bado Click to expand... tiGo tiari asee, wanaanza kazi mwezi ujao
Aggrey86 said: Mkuu ni Position gani? Kama upande wa tigo nasikia bado Click to expand... tiGo tiari asee, wanaanza kazi mwezi ujao
THE BIG SHOW JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 18,544 Reaction score 14,803 Nov 21, 2012 #9 mussa abdallah said: infinity ndo kitu gani................tunaomba adress yao basi ili tuwajue Click to expand... watu kati hawa ni mawakala ambao tunaweza sema kama ni recruitment agency flan hawa wanakuajiri onbehalf of tigo,wana'link' between workers and employers,, wao wanachukua percent flani si unajua mjin shule??
mussa abdallah said: infinity ndo kitu gani................tunaomba adress yao basi ili tuwajue Click to expand... watu kati hawa ni mawakala ambao tunaweza sema kama ni recruitment agency flan hawa wanakuajiri onbehalf of tigo,wana'link' between workers and employers,, wao wanachukua percent flani si unajua mjin shule??
O OgwaluMapesa JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 10,942 Reaction score 437 Nov 21, 2012 #10 naombeni website yao hao INFINITY
Aggrey86 JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 853 Reaction score 155 Nov 21, 2012 #11 aloycev said: tiGo tiari asee, wanaanza kazi mwezi ujao Click to expand... Heeh!! Jamani Mungu wangu kumbe watu kalibu wanaingia mzigoni jamaa angu mmoja anajua bado dah!
aloycev said: tiGo tiari asee, wanaanza kazi mwezi ujao Click to expand... Heeh!! Jamani Mungu wangu kumbe watu kalibu wanaingia mzigoni jamaa angu mmoja anajua bado dah!
I Inosent Member Joined Nov 19, 2012 Posts 18 Reaction score 1 Nov 21, 2012 Thread starter #12 daaaaaaaa najua bado ila kwa upande wa position ilikua ni tigo bima jaribuni kuwa uliza waliopata wamepata nafasi gani?
daaaaaaaa najua bado ila kwa upande wa position ilikua ni tigo bima jaribuni kuwa uliza waliopata wamepata nafasi gani?
A aloycev Member Joined Aug 6, 2011 Posts 22 Reaction score 4 Nov 22, 2012 #13 Inosent said: daaaaaaaa najua bado ila kwa upande wa position ilikua ni tigo bima jaribuni kuwa uliza waliopata wamepata nafasi gani? Click to expand... Hiyohiyo huduma ya bima, washachaguliwa hadi wa kuingia mtaani na wa kukaa kwenye simu....labda kama wataita kundi jengine baadae
Inosent said: daaaaaaaa najua bado ila kwa upande wa position ilikua ni tigo bima jaribuni kuwa uliza waliopata wamepata nafasi gani? Click to expand... Hiyohiyo huduma ya bima, washachaguliwa hadi wa kuingia mtaani na wa kukaa kwenye simu....labda kama wataita kundi jengine baadae
I Inosent Member Joined Nov 19, 2012 Posts 18 Reaction score 1 Nov 23, 2012 Thread starter #14 jamani hizi interview za kiswahili nazo wanatubania mfano kazi za infinity tumefanya na tume kosa je huu ni uungwana au ndio kujuana
jamani hizi interview za kiswahili nazo wanatubania mfano kazi za infinity tumefanya na tume kosa je huu ni uungwana au ndio kujuana
I Inosent Member Joined Nov 19, 2012 Posts 18 Reaction score 1 Nov 26, 2012 Thread starter #15 siwa eliwi naomba mnisaidie
A aloycev Member Joined Aug 6, 2011 Posts 22 Reaction score 4 Nov 26, 2012 #16 Inosent said: siwa eliwi naomba mnisaidie Click to expand... Asee watu wa tiGo bima washaitwa kitambo, kama bado hujapigiwa mpaka dakika hii faham fika kua maombi yako yamegonga ukuta
Inosent said: siwa eliwi naomba mnisaidie Click to expand... Asee watu wa tiGo bima washaitwa kitambo, kama bado hujapigiwa mpaka dakika hii faham fika kua maombi yako yamegonga ukuta