naomba mwenye kufahamu muundo wa karo za hii shule anisaidie nataka nianze kujiandaa kisaikolojia na kilasirimali mapema binti yangu anakaribia kuingia darasa la pili.
Haaa haaa darasa la pili unaumiza kichwa kuhusu ada relax bro kipindi binti yako anamaliza darasa la saba hizo shule zitakuwa hazina gharama sababu serikali itakuwa ishakamilisha ujenzi wa miundombinu yake hivyo itajikita katika kuboresha elimu