Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Kwa wanaume ni dharau mbaya sana wapatazo kwa kubambikwa watoto ambao siyo wake. Wengi imefikia kuchukulia poa tu, kitanda akizai haramu.
Binafsi nachukilia huu ni ukatili mkubwa sana ufanywao na wanawake.
Kidume umefanya changamoto zote za ujauzito za mpenzi wako/mke wako, kumsindikiza chooni kila mara kama mjuavyo.
Umempeleka clinic kila mara. Anazaliwa mtoto hana hata kucha yako.
Mtoto anazaliwa afanani na wewe na pengine hafanani na mama yake. Nawauliza wanaume wezangu wa mmu, je ikikutokea wewe utafanyaje?
Nawauliza wanawake mnajisikiaje kubambika, roho zenu zinajisikiaje baba akimlea mtoto ambae sio wake?