Fedha zetu matopeni tena?

Hii nchi hakuna kesi ya serikali ikashinda.

Hao wanasheria sijui mawakili ni kama wanakomoa.

Wauze tu kila kitu.

Sembe leo kilo ni 2000, mchele kilo 3000, maharage kilo 3600. Maji hakuna kabisa, umeme mgao mkali.

Tumeshapoteza mwelekeo.
Wanakua wamekubaliana
 
Walamba asali hata hawajali wao wanaendelea kulamba tu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…