Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,898
FEDHA ZAMWAGWA KUWAHONGA WABUNGE
Pia habari za kuaminika zinaeleza kuwa mmoja wa wabunge alionekana akigawa fedha kwa wabunge wenzake kati ya Sh milioni mbili, tano hadi milioni 50 kuwashawishi wapinge Bunge kujadili kashfa ya IPTL na kama litajadili wahakikishe wanawakingia kifua wote watakaobainika kuhusika ama katika kuchotama kupata mgawo wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow.
Chanzo: Nipashe kichwa cha habari"Wabunge CCM wagawanyika mbele ya Mangula"