Fedha za uchaguzi zinunue madawati tuache ushamba

Unitman

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
665
Reaction score
956
Wananchiii wa Tanzania nitawazarau saaana iwapo watakubali kutumia fedha bill 500 kufanya uchaguzi bila tume.

Simba na Yanga wamefanya reforms mechi imepigwa jana.Tume ya Kenya ije Tanzania ifanye kazi au tununue MADAWATI

Cc.senior chawa Lucas.
 
Nyerere alituachia laana tukatubu butiama
 
Wananchiii wa Tanzania nitawazarau saaana iwapo watakubali kutumia fedha bill 500 kufanya uchaguzi bila tume.

Simba na Yanga wamefanya reforms mechi imepigwa jana.Tume ya Kenya ije Tanzania ifanye kazi au tununue MADAWATI

Cc.senior chawa Lucas.
Wenzako kipindi, (wakati), wa uchaguzi ndiyo muda wa mavuno
 
Back
Top Bottom