Gazeti la Raia Mwema limeripoti kwamba: Uchunguzi unaoendelea wa serikali kuhusu ufisadi wa takribani billion 13 katika mkopo uliochukuliwa Benki ya Stanbic unaonyesha kuwagusa watu ambao alikuwa mstari wa mbele kwenye kampeni za vyama vilivyo kwenye umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA)