Gerald David
Member
- Nov 2, 2010
- 10
- 0
Holy crap. Ukiwa umevuta usiwe unaandika na kupost threads humu.Wapendwa atakayeweza kupata takwimu hii safari ya kifisadi ya wabunge kwenda Uk kufuatilia hela za rada imetumia hela ngapi atujuvye. Si ajabu matumizi yao yakazidi hela waliyoifuatilia. Kwa tanzania si ajabu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Itolewe kwa NGO/charity organisations maana zikiwekwa serikalini watagawiana posho etc
Hiyo hela irudi serikalina jamani, ikirudi serikalini itawanufaisha wengi ukilinganisha na kwenye NGO kwa sababu ngo zina preorities zao tofauti na serikali, pia tujue kuwa si kila mtu serikalini ni mwizi, lets talk positive of our nation not always negative, HII NCHI NI YETU WOTE NA SISI NDO TUTAIJENGA AU KUIBOMOA, HAKUNA MTU MWENYE HATI MILIKI YA HII NCHI
Wa Tz bwana, tumefikia mahala hatuaminiki na wafadhili wetu.
Ni kama mtoto wako anasoma shule na ukagundua ukimpa hela ya ada na matumizi anakula halafu unabaki unadaiwa. Dawa hapo ni kulipa moja kwa moja benki, na inayobaki ya matumizi yake, mpe head master wake. Akitaka kuchukua maelezo mpaka yamtosheleze mwl wake. Ndiko tulikofika wa Tz wenzangu.
Nasema leo hii Mwl Nyerere akifufuka akutane na haya mauozo kwenye serikali aliyoiasisi kweli nakuambia ndo atakufa jumla kabisaaa!