Fedha za mechi ya taifa stars vs Uganda wapewe mashujaa wa 1980

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,705
Katika Tanzania tunashindwa kuwaenzi Mashujaa wetu katika Matukio waliolifanyia Taifa hili.Leo nimeona Mh.Rais akimpatia Mchezaji Peter Tino Sh.Milioni 5 lakini najiuliza je Mchezaji huyo alikuwa pekee yake uwanjani siku hiyo? Jibu ni kwamba walikuwa ni wengi.Ushauri wangu kwa TFF wawe na fadhila kwa Wale wote waliolichangia Taifa hili mpaka likapata Sifa.TFF waamue Kiingilio chote kiluchopatikana ktk Mechi kati ya Tanzania Vs Uganda jana Uwanja wa Taifa Wawapatie Mashujaa wetu au Familia zao Walioiwezesha Tanzania kucheza Mashindano hayo Mwaka 1980 wakiwa na Mchezaji Peter Tino, Mh.Rais kaanza na Peter Tino TFF ifuate sio kuwasifu kwa maneno tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mabeki waliozuia hawajapewa kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana wamepigaji mtonyo pale taifa watu waliiingia zaidi ya elf 70.......

Watoto wamjini a k a wapigaji Jana ndo iliikua siku yao .....
 
Katika Tanzania tunashindwa kuwaenzi Mashujaa wetu katika Matukio waliolifanyia Taifa hili.Leo nimeona Mh.Rais akimpatia Mchezaji Peter Tino Sh.Milioni 5 lakini najiuliza je Mchezaji huyo alikuwa pekee yake uwanjani siku hiyo? Jibu ni kwamba walikuwa ni wengi.Ushauri wangu kwa TFF wawe na fadhila kwa Wale wote waliolichangia Taifa hili mpaka likapata Sifa.TFF waamue Kiingilio chote kiluchopatikana ktk Mechi kati ya Tanzania Vs Uganda jana Uwanja wa Taifa Wawapatie Mashujaa wetu au Familia zao Walioiwezesha Tanzania kucheza Mashindano hayo Mwaka 1980 wakiwa na Mchezaji Peter Tino, Mh.Rais kaanza na Peter Tino TFF ifuate sio kuwasifu kwa maneno tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utasemaje kuhusu wakulima waliojitoa muhanga kulima kwa jembe la mkono mazao kama pamba, kahawa na korosho ambazo ziliingiza fedha za kigeni Taifa letu? Wengi wamezeeka na hawana msaada wowote japo waliingiza fedha za kigeni. Na polisi na wanajeshi waliokuwa mstari wa mbele kwenye mapigano na wahalifu mbona hawakumbukwi?
 
Back
Top Bottom