Nimeupenda uchambuzi wako,ngoja tuwasikilize wenye mawazo tafauti nao watasemaje
Kati ya mambo ambayo Rais 'dhaifu' jakaya alijitahidi sana kwny utawala wake ni ku balance ushawishi wa madola makubwa Duniani Marekani na Uchina.US ilijaribu sana kuishawishi Tanzania kufanya mambo mawili
1. Tanzania kuwa Base ya kijeshi ya Marekani kwny pembe ya Africa na Mashariki mwa Africa.
2.Kupeleka vikosi Vya kijeshi kusaidia Somalia.
Yote hayo mawili aliyakataa.
Kwa wanachokifanya sasa ni kutaka kumtikisa Ndugu Magufuli ili alainike akubali masharti yao kwa kigezo cha Zanzibar.
Sote tunajua issue ya Zanzibar sio union matter uchaguzi ni as Zanzibar wameusimamia wenyewe wamehujumu wenyewe na kuufuta wameufuta wenyewe.wanachokifanya ni jaribio la kutaka ku weka masharti ya MCC ili pia wachomekee ishu ya kuweka kambi zao na kushawishi nchi zote za EA ziingie vitani somalia na ikitokea Tanzania ikikubali basi liundwe jeshi la jumuia ya Africa Mashariki kama ilivyo Africa magharibi (Ecomog) kenya na Uganda tayarj zipo Somalia unasubiriwa Tz ili kusambaza vurugu za Somalia kote EA. Bora kukosa MCC tubaki salama na njaa zetu

Kama sio union matter kwa nini unaingiliwa na vyombo vya Usalama? Yupo wapi Jecha?Kati ya mambo ambayo Rais 'dhaifu' jakaya alijitahidi sana kwny utawala wake ni ku balance ushawishi wa madola makubwa Duniani Marekani na Uchina.US ilijaribu sana kuishawishi Tanzania kufanya mambo mawili