Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,570
Kwa mujibu wa Bloomberg.com hivi sasa Russian rubble ndiyo fedha inayoimarika zaidi duniani.
Licha ya vikwazo vyote kutoka U.S.A na washirika wake Russia wanaendelea kuchanja mbuga kwa kuimarisha fedha yao.
Nimeamini muathirika namba moja wa hii vita ni EU , U.S. A ataendelea kula kuku kwa mrija kwa kuwafanya EU wawe wategemezi kwa kuwaingiza mkenge waharibikiwe na uchumi wao.
===
The ruble resumed its advance against the dollar on Wednesday as the Moscow Exchange reopened after two days of public holiday. It’s now up more than 11% against the US dollar since the start of the year, surpassing the real’s 9% advance to become the top gainer among 31 major currencies tracked by Bloomberg. The offshore rate is up even more, about 12%.
link ya habari hii

Ruble Surpasses Brazil’s Real as Year’s Best-Performing Currency
- Ruble extends gains as Moscow Exchange reopens after holiday
- Real’s rally loses steam as rate differential to US may shrink